Unataka kuwa na kituo cha Television au kituo cha Radio? Unataka kujenga studio ya muziki ya kisasa? Kwa wale wanaomiliki kituo cha Redio. Je? Una usikivu mbaya kwenye Redio yako? Unataka redio yako ipatikane katika intaneti?
Monday
TIVOL STUDIO
Thursday
KWA NEEMA FM RADIO
Sunday
Emanuel Mbando
SIFUNI MUNGU STUDIOS
Thursday
REDIO KARAGWE FM
Wednesday
digKAZI
Saturday
MAFUNZO YA KUREKODI
Huduma ya Kutengeneza Makava ya CD, DVD an Caseti
UCHORAJI
Marvalous Creation
DIGKAZI
Digkazi ni Kifupi cha maneno "Kazi Tarakilishi" ni neno la kiswahili lenye maana ya kiingereza "digital works" hii ni kazi ya kujitolea kwa ajili ya kuwafunza wengi namna ya kukabiliana na ulimwengu wa tarakilishi tulionao hivi sasa.
Mwanzilishi wa maono hayo ni Emanuel Mbando ambae ni fundi wa mitambo ya Studio za Muziki na Redio.
Digkazi inalengo la kuwafanya wale wote wenye lengo la kuingia katika ulimwengu wa "digital" kuanza kujiandaa na mabadiliko yanayokuja kwa kasi.
Tunatoa ushauri kwa wenye Redio na Televisheni kwa ajili ya kuibadili mifumo yao ya utangazaji ili iendane na irushaji wa "DIGITAL" kwa kutumia Mtandao wa Satelite.