SIFUNI MUNGU STUDIOS NI STUDIO MPYA ZA KUREKODI NYIMBO ZA DINI. STUDIO HIZI ZIMEFUNGULIWA JIJINI MWANZA. SMS ZINA MITAMBO YA KISASA YA DGITAL IKIWA IMEBORESHA KWA KUCHANGANYWA NA MTAMBO YA ANALOGY.
STUDIO ZA SMS ZIMEFUNGWANA
digKAZI TOKEA MWEZI WA KUMI NA MBILI MWAKA JANA. MPAKA SASA KWAYA NNE ZIMESHAREKODI NYIMBO ZAO.
STUDIO ZA SMS ZINAMILIKIWA NA MR. NKWANDE.