Saturday

Marvalous Creation

DIGKAZI

Digkazi ni Kifupi cha maneno "Kazi Tarakilishi" ni neno la kiswahili lenye maana ya kiingereza "digital works" hii ni kazi ya kujitolea kwa ajili ya kuwafunza wengi namna ya kukabiliana na ulimwengu wa tarakilishi tulionao hivi sasa.

Mwanzilishi wa maono hayo ni Emanuel Mbando ambae ni fundi wa mitambo ya Studio za Muziki na Redio.

Digkazi inalengo la kuwafanya wale wote wenye lengo la kuingia katika ulimwengu wa "digital" kuanza kujiandaa na mabadiliko yanayokuja kwa kasi.

Tunatoa ushauri kwa wenye Redio na Televisheni kwa ajili ya kuibadili mifumo yao ya utangazaji ili iendane na irushaji wa "DIGITAL" kwa kutumia Mtandao wa Satelite.