Saturday

MAFUNZO YA KUREKODI

DIGKAZI inaandaa mfumo kwa njia ya mtandao ambapo unajifunza jinsi ya kuandaa muziki na Vipindi vya redio kurekodi na kuhariri kwa kutumia "sofware kama Adibe Audition , Nuendo na Cubase. Elimu hii itatolew bure.

Pichani ni
Emanuel Mbando
mwanzilishi wa
digKAZI

VYOMBO VYA MUSIC

digKAZI itakuwezesha kuagiza vyombo vya muziki na vifaa vya studio.

Huduma ya Kutengeneza Makava ya CD, DVD an Caseti

Huduma ya Kutengeneza Makava ya CD, DVD an Cassette. wawasiliane nasi kwa simu namba 0784582039

UCHORAJI

Kwa wale wote wenye kipaji cha KUCHORA kwa kutumia penseli wanakaribishwa kufanya nasi kazi. Wasiliana nasi kwa simu nambari 0784 582039