Unataka kuwa na kituo cha Television au kituo cha Radio? Unataka kujenga studio ya muziki ya kisasa? Kwa wale wanaomiliki kituo cha Redio. Je? Una usikivu mbaya kwenye Redio yako? Unataka redio yako ipatikane katika intaneti?
Sunday
SIFUNI MUNGU STUDIOS
SIFUNI MUNGU STUDIOS NI STUDIO MPYA ZA KUREKODI NYIMBO ZA DINI. STUDIO HIZI ZIMEFUNGULIWA JIJINI MWANZA. SMS ZINA MITAMBO YA KISASA YA DGITAL IKIWA IMEBORESHA KWA KUCHANGANYWA NA MTAMBO YA ANALOGY.
STUDIO ZA SMS ZIMEFUNGWANA digKAZI TOKEA MWEZI WA KUMI NA MBILI MWAKA JANA. MPAKA SASA KWAYA NNE ZIMESHAREKODI NYIMBO ZAO.
STUDIO ZA SMS ZINAMILIKIWA NA MR. NKWANDE.
Subscribe to:
Posts (Atom)