Thursday

REDIO KARAGWE FM

Hizi ni studio za Redio Karagwe FM 91.4MHz. Ambako digKAZI walitemelea na kufanya kazi za kiufundi na kutoa ushauri.

Wednesday

KUTENGENEZA STUDIO

digKAZI inasaidia kutengeneza studio na kuondoa mwangwi na mvumo katika chumba.

digKAZI

digKAZI inajishuhulisha na shuhuli zote zinazohusu vifaa vya digital hasa studio za muziki na kuandaa vipindi vya redio.