Unataka kuwa na kituo cha Television au kituo cha Radio?
Unataka kujenga studio ya muziki ya kisasa?
Kwa wale wanaomiliki kituo cha Redio.
Je? Una usikivu mbaya kwenye Redio yako? Unataka redio yako ipatikane katika intaneti?
Saturday
MAFUNZO YA KUREKODI
DIGKAZI inaandaa mfumo kwa njia ya mtandao ambapo unajifunza jinsi ya kuandaa muziki na Vipindi vya redio kurekodi na kuhariri kwa kutumia "sofware kama Adibe Audition , Nuendo na Cubase. Elimu hii itatolew bure.