Monday

TIVOL STUDIO

KWA SASA JIJINI MWANZA UNAWEZA KUREKODI NYIMBO ZA KITAMADUNI KWA GARAMA NAFUU. DIGKAZI WANAKAMILISHA KUFUNGA STUDIO ZA KISASA KWA KIWANGO CHA DIGITAL. WATAALAMU WETU, EMANUEL MBANDO NA MKURUGENZI WA RIVOL STUDIO WANAKAMILISHA KUFUNGA VYOMBO. STUDIO ZIPO NYASAKA.