Unataka kuwa na kituo cha Television au kituo cha Radio?
Unataka kujenga studio ya muziki ya kisasa?
Kwa wale wanaomiliki kituo cha Redio.
Je? Una usikivu mbaya kwenye Redio yako? Unataka redio yako ipatikane katika intaneti?
Friday
Rivinus Madaraka Mchunguzi,ambaye anaendesha Tivol Studio ya jijini Mwanza kwa makini sana, na kwa sasa anao wasanii wasiopungua 50 wa utamaduni asilia. Ameanza kuwasiliana na wadau wa muziki wa nchi nza nje kwa uwezekano wa kupata mialiko mbali mbali