Sunday


DIGKAZI
Digkazi ni Kifupi cha maneno "Kazi Tarakilishi" ni neno la kiswahili lenye maana ya kiingereza "digital works" hii ni kazi ya kujitolea kwa ajili ya kuwafunza wengi namna ya kukabiliana na ulimwengu wa tarakilishi tulionao hivi sasa.
Mwanzilishi wa maono hayo ni Emanuel Mbando ambae ni fundi wa mitambo ya Studio za Muziki na Redio.
Digkazi inalengo la kuwafanya wale wote wenye lengo la kuingia katika ulimwengu wa "digital" kuanza kujiandaa na mabadiliko yanayokuja kwa kasi.
Tunatoa ushauri kwa wenye Redio na Televisheni kwa ajili ya kuibadili mifumo yao ya utangazaji ili iendane na irushaji wa "DIGITAL" kwa kutumia Mtandao wa Satelite.

RADIO FIVE FM - ARUSHA

HABARI MAALUM COLLEGE - ARUSHA

KUTOKEA KUSHOTO NI SAMWELI MBUZANGA, EMANUEL DOMINICK, MAREHEMU LENGAI NELSON, ABDULLAH NA EMANUEL MBANDO

Emanuel Mbando

Bwana Emanuel mbando mwanzilishi wa DIGKAZI akiwa katika studio za Habari Maalum Media Jijini Arusha.

REDIO KARAGWE FM tena

COVER DESIGNING

HIZI NI BAADHI YA KAZI ZINAZOFANYWA NA DIGKAZI Marvalous Creation