Monday

01 SURA YA KWANZA - JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - Rasimu ya 2

02 SURA YA PILI - MALENGO MUHIMU, MISINGI YA MWELEKEO WA SHUGHULI ZA SERIKALI NA SERA ZA KITAIFA - Rasimu ya 2

03 SURA YA TATU - MAADILI NA MIIKO YA UONGOZI NA UTUMISHI WA UMMA - Rasimu ya 2

04 SURAYA NNE - HAKI ZA BINADAMU, WAJIBU WA RAIA NA MAMLAKA ZA NCHI - Rasimu ya 2

05 SURA YA TANO - URAIA KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO - Rasimu ya 2

06 SURA YA SITA - MUUNDO WA JAMHURI YA MUUNGANO - Rasimu ya 2

07 SURA YA SABA - SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO - Rasimu ya 2

08 SURA YA NANE - UHUSIANO NA URATIBU WA SERIKALI - Rasimu ya 2

09 SURA YA TISA - BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO - Rasimu ya 2

10 SURA YA KUMI - MAHAKAMA YA JAMHURI YA MUUNGANO - Rasimu ya 2

11 SURA YA KUMI NA MOJA - UTUMISHI WA UMMA KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO - Rasimu ya 2

12 SURA YA KUMI NA MBILI - UCHAGUZI KATIKA VYOMBO VYA UWAKILISHI NA VYAMA VYA SIASA - Rasimu ya 2

13 SURA YA KUMI NA TATU - TAASISI ZA UWAJIBIKAJI - Rasimu ya 2

14 SURA YA KUMI NA NNE - MASHARTI KUHUSU FEDHA ZA JAMHURI YA MUUNGANO - Rasimu ya 2

15 SURA YA KUMI NA TANO - ULINZI NA USALAMA WA JAMHURI YA MUUNGANO - Rasimu ya 2

16 SURA YA KUMI NA SITA - MENGINEYO - Rasimu ya 2

17 SURA YA KUMI NA SABA - MASHARTI YATOKANAYO NA MASHARTI YA MPITO - Rasimu ya 2

Katika Hotuba ya Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete Akipokea Rasimu ya Pili ya Katiba aliwaasa Wabunge wa Bunge la Katiba.. 30 12 2013“ ....lazima wenzetu hawa (Wabunge wa Bunge la Katiba) waongozwe na maslahi ya Taifa kwanza ” Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tarehe 30/12/2013 - Karimjee Hall, Dar es Salaam 

Msikilize Hayati DR Mvungi alitoa wito kwa Wabunge wa Bunge la Katiba " ...wote wanaoingia ..." 27 10 2013 "....wote wanaoingia Katika Bunge la Katiba, Waingie kwa Utakatifu tunaoutaka, Wasiingie kwa Ufisadi tunaousikia - Taifa Kwanza”
Hayati Dk. Sengondo Mvungi Terehe 26/10/2013 

Wednesday

SIKILIZA - WANASHERIA WAJADILI KUHUSU BUNGE LA KATIBA

Dr. Khoti Chilomba Kamanga, Dr.Lwaitama, Mwl.James Jessey na 
Mwl.Ally UkiFriday

SIKILIZA HISTORIA YA ZANZIBAR 1653 - 1873 TUMETOKA WAPI HADI MAPINDUZI

ZANZIBAR KABLA YA MAPINDUZI
 

Wednesday

HISTORIA NI UTI WA MGONGO WA TAIFA

Wednesday

SIKILIZA - WANASHERIA WAMSIFU RAIS NA TUME YA KATIBA MPYA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wanasheria  katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam FEB 2013

HAFLA YA KUKABIDHI RASIMU YA PILI YA KATIBA KWA RAIS - MATUKIO KATIKA PICHA
Friday

Wasikilize Vija na Wazee wakijadili kwa kina Maswala Tata katika Mchakato wa Katiba

AZAKI - sikiliza Mahojiano kati ya Edwin Ndeketela na Wakazi wa Pemba

KATIBA NA JINSIA

Mama Gemma Akilimali 
Akiwasilisha mada ya Katiba Na Jinsia katika Mkutano wa 
AZAKIjijini Dar es Salaam 
28Novemba 2013


Thursday

WAZEE KUTOKA JUMUIYA YA WASTAAFU ZANZIBAR


WASIKILIZE

BAADHI YA WASHIRIKI WA MKUTANO MKUBWA WA ASASI ZA KIRAIA ( AZAKI) wakichangia

Ahadi Kombo Maalim Zanzibar  Mwakilishi wa Wafugaji Mwase Jingi Oliva Kibona Ramadhani Nassoro Sofia Komba Jamali Juma Juma Almati Mohamed Kassim - ZANZIBAR Endrew Mwiluka - WATER CONTROL Faki Mohamed Ali Felix Nilema - KODISO - Ngara Geofrey Kunzugala Alfred Hamanda Bumija Moses Ngondo Adadi Kombo Maalim Zanzibar

SIKILIZA MADA KUTOKA HAKI ARDHI - Katika Mkutano wa AZAKI 27 Novemba 2013

MADA
MGAWANYO WA RASILIMALI HUSUSANI ZA ARDHI KULINGANA NA MUUNDO WA SERIKALI 3 ULIOPENDEKEZWA NA RASIMU YA KATIBA MPYA
NA
Mr Yefred Myenzi


MUHKTASARI WA YALIYOPENDEKEZWA TAREHE 26NOVEMBA2013 KUHUSU MUUNGANO

MAMBO YALIYPO KATIKA SHERIA YA MABADILIKO YA KATIBA - Na Mwl James Jesse

 Mwl James Jesse 
Akieleza MAMBO YALIYPO KATIKA SHERIA YA MABADILIKO YA KATIBA 
Utata.
Katika mkutano Wa AZAKI 
27 Novemba 2013

Wednesday

AINA YA MUUNGANO TUNAOUHITAJI PAMOJA NA MAMBO YAHUSUYO MUUNGANO NA KUPATA MUAFAKA

Sikiliza 

AINA YA MUUNGANO TUNAOUHITAJI PAMOJA NA MAMBO YAHUSUYO MUUNGANO NA KUPATA MUAFAKA

Na 
Adv. Harold Sungusia
26 Novemba 2013Tuesday